Meneja Mahusiano ya Nje
wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi
walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi.
Kaimu Katibu Mkuu wa
Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa
na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi
VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo,
Ibrahim Kaude
Post a Comment