Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mwakilishi wa
Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis,
aliyefuatana na ujumbe wake, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini
Dar es Salaam, kwa mazungumzo leo Oktoba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu
Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios
Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini
kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa
Marekani nchini Tanzania, Alfonso
Lenhardt.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara
katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012.
Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara
katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012.
Picha na OMR
Post a Comment