Mmoja wa Maofisa wa Polisi
akielekeza jambo kwa Kamanda
Wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Mohamed
Mpinga (tatu shoto) ,ACP Kilonzo kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi (mwenye
miwani) pamoja na ASP
Msuyale (
wa tatu mstari wa nyuma) wote kutoka nchini Tanzania,kuhusiana na mambo ya
usalama barabarani.
Maofisa
hao wakuu waandamizi wa jeshi la polisi kutoka nchini Tanzania walikuwa nchini
Ujerumani kwa
ziara ya mafunzo ya wiki moja (21/10 – 27/10/20120),katika jimbo la Lower
Saxon,ambapo pia walitembelea Mji mkuu wa jimbo hilo Hannover, Neunberg, na
Gottingen.
Aidha ziara hiyo ilihusisha
mambo mbalimbali ya usalama barabarani ikiwemo kuangalia upimaji mwendo kasi kwa
kutumia mtambo maalum unaopiga picha, na rader ya kawaida, ukaguzi wa malori ya
mizigo na mambo mengine mengi..
Mmoja wa Maofisa wa Polisi
(mwenyeji) akiwaelekeza jambo kwa Kamanda
Wa Kikosi cha Usalama Barabarani,SACP Mohamed
Mpinga,ACP Kilonzo pamoja na ASP
Msuyale (wote
watatu pichani kati) namna ya matumizi mbalimbali ya usalama
barabarani.
Mmoja
wa Maofisa wa Polisi akimuelekeza Kamanda
Wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Mohamed
Mpinga namna ya kuangalia
upimaji mwendo kasi kwa kutumia mtambo maalum unaopiga picha kuhusiana
na uendeshaji magari barabarani.
Kamanda
Wa Kikosi cha Usalama Barabarani,SACP Mohamed
Mpinga,ACP Kilonzo pamoja na ASP
Msuyale wakielekezwa namna ya leseni za madereva
zinavyokuwa.
Maofisa
wa juu wa kutoka jeshi la polisi nchini Tanzania, Kamanda
Wa Kikosi cha Usalama Barabarani,SACP Mohamed
Mpinga,ACP Kilonzo pamoja na ASP
Msuyale (wote
watatu pichani kati) wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao.Picha zote kwa
hisani ya SACP
Mohammed Mpinga – CO Traffic.
Post a Comment