Wayne Rooney amefunga
mabao mawili na kuanza mapema kusherehekea miaka yake 27 ya kuzaliwa wakati
Manchester United' ikiifunga 4-2 Stoke, hivyo kutimiza mabao 200 katika klabu
hiyo. Mabao mengine yalifungwa na Danny Welbeck na Robin van
Persie.
TAKWIMU ZA MECHI
Man United: De Gea, Da
Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia (Nani 74), Scholes (Anderson 70),
Carrick, Welbeck (Hernandez 78), Van Persie, Rooney
MABAO: Rooney dk27,
dk65, Van Persie dk44, Welbeck dk46
NJANO: Scholes
BENCHI: Lindegaard,
Giggs, Powell, Wootton
Stoke: Begovic, Cameron,
Huth, Shawcross, Wilson, Nzonzi, Whitehead (Palacios 86), Walters (Etherington
70), Adam, Kightly (Owen 74), Crouch
MABAO: Rooney
(kujifunga) dk 11, Kightly dk58
NJANO: Kightly
BENCHI: Sorensen, Jones,
Upson, Wilkinson
REFA: Anthony Taylor
(Cheshire)
Wayne Rooney (Na 10)
akifunga kwa kichwa
Wayne Rooney baada ya
kufunga
Robin van Persie
akishuhudia mpira unavyotinga nyavuni baada ya jitihada zake
Kipa wa Stoke, Asmir
Begovic akimvaa Robin van Persie
Wayne Rooney alifanya
kosa lililolipa Stoke bao la kuongoza
Danny Welbeck
akishughulika
Washambuliaji wa United,
Wayne Rooney (kushoto), Robin van Persie na Danny Welbeck (kulia) wote
walifunga
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
Post a Comment