Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA RAIS KIKWETE AKIWA NCHINI OMAN



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakti wa mkutano na Watanzania waishio Oman uliofanyika jijini Muscat hivi karibuni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Ali Ahmed Saleh
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wanyabiashara wan chi hizo mbili uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wanyabiashara wanchi hizo mbili uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watanzania mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Oman katika mkutano uliofanyika jijini Muscat wiki iliyopita
Baadhi ya Watanzania waishio Oman wakiimsalimia kwa shauku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuongea nao jijini Muscat wakati wa ziara yake iliyomalizika hivi karibuni.Picha na Freddy Maro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top