Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika ukumbi wa Bunge
la India tayari kuhudhuria Mkutano wa Saba wa Maspika wanawake
Duniani.
Rais wa India Mhe. Pranab Mukherjee akifungua rasmi mkutano wa 7 wa
Maspika wanawake Duniani ambapo dhana kuu ni kuwa na mabunge yenye
kujali usawa wa jinsia na kuwawezesha wanawake kwa kuwapa ujasiri wa
ushindani.
Spika Makinda ( wa tatu kushoto) pamoja na baadhi ya maspika wenzake.
Post a Comment