Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUTANO WA TATHMINI YA MAENDELEO ULIVYOKUWA

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yahana Budeba akifungua mkutano wa wadau kutathmini maendeleo ya  ya Uvuvi, Wanyamapori, Misitu na Mifugo leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliowahusisha pia wadau kutoka nchi wafadhiri wa miradi ya maendeleo na wadau kutoka asasi za kiraia unalenga kuimarisha usimamizi wa maliasili na kupeleka madaraka ya usimamizi ngazi za vijiji.
 Washiriki wa mkutano wa tathmini ya maendeleo   ya sekta ya  Uvuvi, Wanyamapori, Misitu na Mifugo wakijadili masuala mbalimbali kuhusu usimamizi  endelevu wa maliasili  zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam.
 Washiriki wa mkutano kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, wadau kutoka asasi za kiraia zinazoshughulika na uhifadhi wa mazingira na washirika wa maendeleo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi  wa mkutano huo jijini Dar es salaam.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top