Waziri
wa fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na maongezi ya uwekezaji na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard. (Standard Bank) hapa jijini
Tokyo- Japan.
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na wajumbe kutoka nchi Mauritius
kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Maendeleo ya uchumi, Bw. Ali
Mansoor akifuatiwa na Makamu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha na
Maendeleo ya uchumi , Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakielezana juu
ya maendeleo kati ya nchi hizi mbili Jijini – Japan – Tokyo
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa na Mwenyekiti wa Bodi ya uwekezaji Bw.
Maurice Lam wa Mauritius wakibadilishana hati za mawasiliano Jijini
Tokyo-Japan.
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na Waziri wa Fedha wa Rwanda.
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa akimpokea Waziri wa fedha wa Kenya Bw.
Robinson Githae tayari kwa kikao chao kinachohusu mambo ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia ni waziri wa Fedha wa Rwanda
Picha na Ingiahedi Mduma na Scola Malinga Jijini Tokyo – Japan
Post a Comment