Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Maendeleo ya Jamii Mhe.Jenister
Mhagama akisisitiza jambo wakati Kamati hiyo ilipotembelea TAMWA. Kushoto ni
Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii Mhe.Ummy
Mwalimu Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Maendeleo ya Jamii leo imeitembelea Taasisi ya TAMWA kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo. |
Loading...
Post a Comment