Bw James Buchard Rugemalira akitoa utangulizi na
Utambulisho kwa waalikwa kabla ya kumkaribisha akimkaribisha Mwashamu Baba
Askofu Nestory Timanywa.
Kutoka kushoto ni mmoja kati ya washauri wa
mradi Bw. Kamala, katikati ni muasisi wa chama cha mapinduzi mzee Pius Ngeze na
Bw. Ngaiza.
Akiongea kwa hisia Mwashamu Baba Askofu Nestory
Timanywa ameanza kwa historia ya makasa ,Baba askofu Timanywa amesema tangu
mwaka 1910 Bunena limekua kanisa kuu la Jimbo.pia amegusia makanisa ya kashozi,
Rubya, Mugana, Kagondo na Katoke.
Misa ikiendelea, kama wanavyo onekana Bw.na Bi
James Rugemarila, pia mkuu wa mkoa na Aakofu Samsoni
Mshema.
Kabla ya Kubariki uzinduzi wa wazo , ilitangulia
misa iliyoandaliwa na Familia ya Mzee Rugemarila kwa ajili ya shukrani ya
kumbukumbu ya marehemu Mama YAO, Ma Auleria Kobulungo Muganda. Misa ikiongozwa
na Mwashamu Askofu Kilaini.
Picha kwa hisani ya BukobaWadau
Blog.
Post a Comment