Timu ya prison ya Mbeya
imepata ajali eneo la HaLe mkoani Tanga,wachezaji Issa Mwantika,Lugano
Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza fahamu na kukimbizwa
hospitali ya Tanga, Kiungo wa Prisons Diego Magai akiongea na blog hii kutoka
eneo la tukio amesema chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha
njia na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua
wanapishana nalo usiku ,hadi saa tano na dk hamsini usiku majeruhi walikuwa
wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Alfajiri3 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-


Post a Comment