Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA KITUO CHA HABARI WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI


Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia) wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top