Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WADAU WA AIRTEL WAJITOKEZA KUKAGUA MAGARI YAO KWAAJILI YA USALAMA BARABARANI


Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akitoa maelezo na ufafanuzi kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha usalama barabarani unazingatiwa.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akiandika sticker za usalama barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani Mfanyakazi wa Airtel. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti na Abdul Mbuyu.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top