WACHEZAJI watano wa Ligi Kuu ya England wameingia kwenye orodha ya nyota 23 kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka wa FIFA, iitwayo Ballon D'Or, ndani yake Muingereza akiwa mmoja tu.
Hao ni kutoka Manchester City, Sergio Aguero, Mario
Balotelli na Yaya Toure pamoja na Muingereza pekee, Wayne Rooney na Mholanzi
Robin Van Persie, wote wa Manchester United.
Didier Drogba, ambaye aliiwezesha Chelsea kutwaa taji
la Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kuhamia Shanghai Shenhua ya China, pia
ameorodheshwa.
ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA BALLON D'OR
Sergio Agüero (Argentina & Manchester
City)
Mario Balotelli (Italy & Manchester City)
Karim Benzema (France & Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Italy & Juventus)
Sergio Busquets (Spain & Barcelona)
Iker Casillas (Spain & Real Madrid)
Didier Drogba (Ivory Coast, Chelsea & Shanghai Shenhua)
Radamel Falcao (Colombia & Atlético Madrid)
Zlatan Ibrahimović (Sweden, AC Milan & Paris St Germain)
Andrés Iniesta (Spain & Barcelona)
Lionel Messi (Argentina & Barcelona)
Manuel Neuer (Germany & Bayern Munich)
Neymar (Brazil & Santos)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid)
Gerard Piqué (Spain & Barcelona)
Andrea Pirlo (Italy & Juventus)
Sergio Ramos (Spain & Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal & Real Madrid)
Wayne Rooney (England & Manchester United)
Yaya Toure (Ivory Coast & Manchester City)
Robin van Persie (Holland, Arsenal & Manchester United)
Xabi Alonso (Spain & Real Madrid)
Xavi Hernández (Spain & Barcelona)
Mario Balotelli (Italy & Manchester City)
Karim Benzema (France & Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Italy & Juventus)
Sergio Busquets (Spain & Barcelona)
Iker Casillas (Spain & Real Madrid)
Didier Drogba (Ivory Coast, Chelsea & Shanghai Shenhua)
Radamel Falcao (Colombia & Atlético Madrid)
Zlatan Ibrahimović (Sweden, AC Milan & Paris St Germain)
Andrés Iniesta (Spain & Barcelona)
Lionel Messi (Argentina & Barcelona)
Manuel Neuer (Germany & Bayern Munich)
Neymar (Brazil & Santos)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid)
Gerard Piqué (Spain & Barcelona)
Andrea Pirlo (Italy & Juventus)
Sergio Ramos (Spain & Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal & Real Madrid)
Wayne Rooney (England & Manchester United)
Yaya Toure (Ivory Coast & Manchester City)
Robin van Persie (Holland, Arsenal & Manchester United)
Xabi Alonso (Spain & Real Madrid)
Xavi Hernández (Spain & Barcelona)
Mtukutu Balotelli naye yumo |
Lionel Messi
amerodheshwa kwenye wachezaji wanaowania Ballon D'Or, wakati tayari
amekwishashinda tuzo Kiatu cha Dhahabu kwa kuwa mfungaji bora Ulaya msimu
uliopita
Messi alifunga mabao 50
katika ligi akiwa na Barcelona msimu uliopita ambayo ni rekodi
Ulaya
Wayne Rooney wa
Manchester United ni Muingereza pekee katika orodha ya wanaowania Ballon D'Or
shortlist
Ronaldo naye yumo |
WASHINDI 10 WALIOPITA
Ballon D'Or ilikuwa tuzo ya Mwanasoka Bora Ulaya hadi
mwaka 2010, ilipogeuzwa kuwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa
FIFA
2011 - Lionel
Messi (Barcelona)
2010 - Lionel Messi (Barcelona)
2009 - Lionel Messi (Barcelona)
2008 - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2007 - Kaka (AC Milan)
2006 - Fabio Cannavaro (Real Madrid)
2005 - Ronaldinho (Barcelona)
2004 - Andriy Shevchenko (AC Milan)
2003 - Pavel Nedved (Juventus)
2002 - Ronaldo (Real Madrid)
2010 - Lionel Messi (Barcelona)
2009 - Lionel Messi (Barcelona)
2008 - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2007 - Kaka (AC Milan)
2006 - Fabio Cannavaro (Real Madrid)
2005 - Ronaldinho (Barcelona)
2004 - Andriy Shevchenko (AC Milan)
2003 - Pavel Nedved (Juventus)
2002 - Ronaldo (Real Madrid)
Read more: http://www.dailymail.co.uk/
Post a Comment