Chris
Brown anajua kuchezea hela yake. Staa huyo wa R&B ameripotiwa kutumia dola
$750,000 kununua Lamborghini mpya.’
Brown
ameionesha ndinga hiyo mpya kwenye birthday party ya mume wa Elton John David
Furnish.
Licha
ya kuwa na hiyo mpya, Brown tayari ana gari zingine za kifahari ikiwemo P-51
Lamborghini.
Sherehe
hiyo ilifanyikka Belasco Theatre huko Downtown Los Angeles kukiwa na mastaa
wengine kama Gwen Stefani, Matthew Morrison, Neil Patrick Harris na Johnny
Depp.
Post a Comment