Hili ni Moja ya Magari hayo
ambalo likitua tuu hapa linakuwa gari la kawaida
Hili lipo hapa linakaribia
kuondoka
Hapa Gari Hilo likiwa Juu
linakula mitaa
Muda mchache baada ya kutua
sasa lipo mtaani linatembea,
Foleni Ikizidi Hiloo lina
tambaa juu
Hii ni Aina nyengine ya
Magari hayo ambayo hupaa na kutembea nchi kavu
Cheki Hapa limetua kwa kasi
mwendo Mdundo linaendelea na safari
Hili ni aina ya Gari ambalo
pia Hupaa na kutembea Barabarani
Hapa Kabla halija ondoka ,
Limekula pozi
Hapa linakula
Kona.
Kutokana na kukuwa wa
mabadiriko ya Science na Technology kumekuwa na mambo mengi sana ambayo
yanatokea, lakini kubwa kabisa la siku ya leo ni ujio wa haya magari ambayo
wanasayansi wanatarajia kuyazindua hivi karibuni, mpaka sasa yapo katika
majaribio kabla ya kuanza kutumika Rasmi.
Wazo hili la kutengeneza
magari haya yenye uwezo wa kutembea katika barabara za kawaida na kupaa angani
limekuja kutoka Holy hood, ambapo wanasayansi hao walifanya utafiti kwa lengo la
kutengeneza magari haya kama Taxii za mwendo kasi ili kurahisisha safari za
abiria wenye haraka zao, Lakini kwa mara ya kwanza mpango huo ulikwama kutokana
na kwamba walikuwa hawajajiandaa, waliweka zaidi kama mpango wa
kusadikika.
Baada ya ya muda kupita
waliweza kufanikiwa na mpango huo wa magari ambayo yanaweza kupaa angani endapo
tuu kutakuwa na foleni kubwa hasa kwa nchi za Ulaya na Marekani.
Kwa hakika magari hayo ambayo
ni Technology mpya kabisa Hapa duniani ni ya kipekee na ambayo itawafanya watu
wapate kuishi kwa amani kabisa. Akizungumza mmoja wa wagunduzi wa Magari hayo
yaliyo pewa jina la "SKYWORTHY" amesema kuwa " Tumelazimika kutafuta ufumbuzi wa
kupunguza msongamano wa foleni na kuwasaidia wenye haraka pindi wakiwa na haraka
waweze kupaa moja kwa moja na kuwahi mambo yao"
Pia katika haya magari jambo
la kufurahisha zaidi ni kwamba mbawa zake zimetengenezwa kiasi kwamba huwezi
kuziona wakati Gari lipo barabarani, lakini wakati linaanza kupaa ndipo mbawa
hizo zinatokezea, hilo ni swala ambalo wanasayansi hao wameonesha ubunifu mkubwa
sana na wakipekee, swala ambalo halijawahi kutokea hapo
mwanzo.
Magari hayo ambayo pia ni
Ndege yanatarajiwa kuzinduliwa mwaka huu 2012 ambapo gari la kwanza litauzwa kwa
Gharama ya Dola za Kimarekani 300,000, ambapo ndege hiyo itakuwa na uwezo wa
kupaa kwa masaa 20 angani.
Magari hayo ambayo pia ni
ndege hapo hapo yana muundo wa Chopa , lakini ni ndogo zaidi ya Chopa, ina uwezo
wa kukimbia (110mph/180 km/h) ambayo ni sawa na
(560km/350Miles)
CREDIT KWA SULEIMAN MAGOMA BLOG












Post a Comment