|
Baadhi
ya wanachama wa Simba leo hii wameandama mpaka kwenye makao makuu ya klabu hiyo
wakiwa na mabango yaliyokuwa yakiwataka makamu mwenyekiti wa Simba Godfrey
Kaburu na Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja kuachia nafasi kwenye timu kwa madai
ya kuihujumu timu na kupata matokeo
mabaya. |
on Monday, November 5, 2012
Post a Comment