Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seith Kamuhanda akikagua moja ya
majengo ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) alipofanya ziara ya ukaguzi wa
Ofisi hizo mpya zilizopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.Anaemuelekeza kushoto
ni Mtendaji Mkuu wa Bakita Dkt. Selemani Sewangi.
Baadhi ya watumishi wa
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hayupo pichani) alipofanya ziara ya
ukaguzi wa Ofisi hizo mpya zilizopo Kijitonyama Jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seith Kamuhanda akiongea na watumishi
wa Baraza la Kiswahili Tanzania (hawapo pichani) alipofanya ziara ya ukaguzi wa
Ofisi hizo mpya zilizopo maeneo ya Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Mtendaji Mkuu wa BAKITA Dkt. Seleman Sewangi na kulia ni Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko
Post a Comment