Katibu wa Mufti wa
Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindi kali na watu
wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha
Mwanakwerekwe.
Katibu wa Mufti wa
Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa kwenye Gari ya Wagonjwa kwa lengo la
kuwahishwa katika Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi
kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha
Mwanakwerekwe.
Wananchi mbalimbali
wakishuhudia Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akiwahishwa katika
Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na watu
wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika Kiwanja cha
Mwanakwerekwe.Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
Post a Comment