Wapiga makasia 15 wakinyosha makasia yao juu kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano ya mitumbwi ya Balimi (Balimi Boat Race) yaliyofanyika jijini Mwanza jana. |
Msanii wa kikundi
cha ngoma cha Bujora akichezea nyoka kwa kuingiza kichwa mdomoni wakati
wakitumbuiza watu waliofika kushuhudia mashindano ya mitumbwi ya Balimi (Balimi
Boat Race) yaliyofanyika Mwaloni Mkoani Mwanza jana
Post a Comment