Ifuatayo ni ratiba ya nani kuumana na nani katika mechi za leo za Ligi ya Mabingwa.
Kama kweli mwanasoka tabiri mechi unayoipenda kisha weka hewani na wenzako washuhudie.
 
AC Milan v Malaga 19:45
Anderlecht v Zenit St P’sbg 19:45
Dynamo Kiev v FC Porto 19:45
Man City v Ajax 19:45
Olympiakos v Montpellier 19:45
Paris SG v Din Zagreb 19:45
Real Madrid v Borussia Dortmund 19:45
Schalke 04 v Arsenal 19:45