Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi na wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi
Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo,
leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi
Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo, leo.
Post a Comment