Diwani wa kata ya Mbagala, Mhe. Kayombo akimkaribisha Mjumbe wa Tume ya Kukusanya maoni ya KatibA Mpya, Joseph Butiku kwenye kata ya Mbagala
Mjumbe wa Tume ya Kukusanya maoni ya Katibu, Joseph Butiku akifungua kikao cha ukusanyaji maoni kwa wakazi wa kata ya Mbagala
Mlemavu wa kutokuona, Hamis akichangia mawazo yake anayoyataka yapewe kipaumbele kwenye Katiba mpya itakayopatikana rasmi 2014. Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Mkazi wa Mbagala Mzee Protas warioba
akitoa maoni yake mbele ya Tume ya
Mabadiliko ya Katiba leo huko Mbagala
Mwanamama akitoa maoni yake mbele ya Tume ya kuratibu ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya. Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Mkazi wa Mbagala Mindi Kuchilingulo akitoa maoni yake mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo huko Mbagala
Vijana nao pia waliwasilisha maoni yao kwa njia ya mazungumzo mbele ya Mwenyekiti wa kundi la saba, Mzee Joseph Butiku
Kundi la Wazee lilioenda kutoa maoni yao. Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Kundi la Vijana baadhi waliopata fursa ya kuchangia maoni yao kwa njia ya kuzungumza
Baadhi ya akina Mama waliopata bahati ya kuzungumza mbele ya Tume ya Kukusanya maoni ya Katiba Mpya
Wakazi mbalimbali wa kata ya Mbagala waliojitokeza wakisikiliza kwa umakini maoni yaliyokuwa yakitolewa. Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Wakazi mbalimbali wa kata ya Mbagala waliojitokeza wakisikiliza kwa umakini maoni yaliyokuwa yakitolewa
Wakazi mbalimbali wa kata ya Mbagala waliojitokeza wakisikiliza kwa umakini maoni yaliyokuwa yakitolewa.Habari na Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Loading...
Post a Comment