Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia
hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, anayesumbuliwa na
maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Sheikh huyo, eneo la
Ramiah mjini Bagamoyo, leo kwa ajili ya kumjulia hali.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Sheikh wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, wakati alipofika nyumbani
kwa sheikh huyo eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo kwa ajili ya kumjulia hali
kutokana na maradhi yanayomsumbua sheikh huyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo, Ahmed Kipozi.
Post a Comment