Ndege aina
ya Airbus A319 ambayo itaanza safari zake tarehe 29 Novemba 2012 kwa safari za
kutoka Dar es Salaam-Mwanza,Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro. Na kiwango cha
chini cha Nauli kitakuwa ni kiasi cha Shilingi za kitanzania 32,000/- kwa tiketi
ya Kwenda peke yake.
Baadhi ya
Abiria ambao walipata fursa ya kufanya majaribio ya safari ya Ndege ya Airbus
A319 ya Shirika la ndege la Fastjet wakiwa ndani ya Ndege hiyo kabla ya Kuruka
kuelekea Zanzibar kama sehemu ya Uzinduzi wa Ndege hivyo. Safari za ndege hiyo
zitaanza rasmi tarehe 29 Novemba 2012 kwa safari za kutoka Dar es
Salaam-Mwanza,Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro. Na kiwango cha chini cha Nauli
kitakuwa ni kiasi cha Shilingi za kitanzania 32,000/- kwa tiketi ya Kwenda peke
yake.
Mmoja wa
Wahudhumu wa Ndege ya shirika la Ndege la fastjet akiwaonyesha abiria namna ya
kujifunga mikanda kabla ya Ndege kuondoka.Ndege hiyo itakuwa ikifanya kwa safari
zake kutoka Dar es Salaam-Mwanza, Dar es Salaam kwenda
Kilimanjaro.
Baadhi ya
abiria wakishuka katika Ndege ya Shirika la Ndege la fastjet ambalo safari zake
zimezinduliwa leo na zitaanza safari zake rasmi tarehe 29 Novemba 2012. Ndege
hiyo itafanya safari zake za kutoka Dar es salaam-Mwanza, Dar es
Salaam-Kilimanjaro.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Uchukuzi,Dk. Charles Tizeba, akitoa hutuba yake wakati wa
Uzinduzi wa Safari za Ndege ya shiirika la Fastjet leo jijini Dar es Salaam.
Ndege hiyo aina ya Airbus A319, itaanza safari tarehe 29 Novemba 20120 na
itakuwa ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam-Mwanza,Dar es Salaam kwenda
Kilimanjaro.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Uchukuzi,Dk. Charles Tizeba (aliyevaa tai nyekundu),
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya fastJet, Bw. Edward
Winter kabla ya uzinduzi wa Ndege ya Shirika hilo leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa
Anga(TCAA), Bw. Fadhili Manongi.
Post a Comment