Mkurugenzi wa ICEA LION,
Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini Kenyaambaye ndiye mgeni rasmi wa mashindano
ya mwaka huu ya Johnnie Walker Waitara akijiandaa kupiga kipira wakati akianza
kucheza katika mashindano hayo hii leo. Ndengwa pia ni Mlezi wa Chama cha Gofu
nchini Kenya. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia
kinywaji chake cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni
miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mzee Nicolaus Silwinga
akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania
kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika
katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon (kulia) akiwa amesimamam na mmoja wa
wacheza Golfu wenzake David Molel muda mfupi kabla ya kuanza kucheza gofu katika
mashindano ya Johnnie Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya
Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha
Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini
wa Mashindano hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akipiga kipira katika shimo na mba moja
wakati wa mashindano ya Golfu wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea
hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini
wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air
nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mcheza gofu David Molel
akipiga kipira katika shimo namba moja wakati wa mashindano ya Golfu wenzake ya
John Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo
jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie
Walker.
Jenerali Mstaafu, Mrisho
Sarakikya akipiga kipira katika shimo namba moja wakati wa mashindano ya Golfu
wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu
Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha
Johnnie Walker.
Post a Comment