Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Dkt
Shukuru J. Kawambwa (Kulia) akiwa
na
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA), Rosemary Lulabuka (Kushoto)
alipokutana na
waandishi wa habari kuzungumzia matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa
hosteli za wasichana
wa sekondari
yanayotarajia kufanyika tarehe 17/11/2012.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Rosemary Lulabuka
akiongea na waandishi
wa habari juu ya matembezi ya hisani ambayo
yanalenga kukusanya fedha kwa ajili ya
ujenzi wa
hosteli za wasichana wa shule za sekondar za kata.matembezi yatafanyika
jumamosi
tarehe 17 Novemba 2012. Kuanzia Mlimani city.
Add caption |
Mwanamuziki Barnabas akiongea na waandishi wa habari juu
ya ushiriki wake katika kampeni na
jinsi
atakavyochangia katika kampeni ya ujenzi wa hosteli za wasichana.
Mabalozi wa hisani wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa
hosteli za wasichana wakiwa na Meneja wa
mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe Gunze (wa pili kutoka kushoto) na Msanii
Barnaba katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano wa Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi , Mh. Dr. Shukuru Kawambwa na waandishi wa
habari.
Post a Comment