|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja Abdulrahaman Kinana wakiangalia picha za
zamani katika banda la Magazeti ya Uhuru na
Mzalendo.
|
|
Rais Jakaya Kikwete akiwa ndani ya banda la Gazeti la Uhuru na Mzalendo na
amefarijika sana kuona gazeti hilo kongwe la chama kuendelea kuwa moja ya
magazeti bora nchini,kushoto ni Mhariri Mtendaji,Josiah Mfungo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM
ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho
huko Kizota mjini Dodoma leo ambapo wanachama wamempigia kura Mwenyekiti na
makamu wake wawili
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na viongozi wa matawi ya CCM
ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho
huko Kizota mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM,
Taifa, Jakaya Kikwete na Makamu wake wawili Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed
Shein (Zanzibar) na Philip Mangula (Bara) wakiwa meza kuu baada ya kutangazwa
kushika nyandhifa zao.
|
on Wednesday, November 14, 2012
Post a Comment