Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TICRA), Profesa John Nkoma akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya mkutano wa 5 wa wadau wa
mawasiliano Afrika wa utekelezaji na usimamizi wa mtumiaji wa simu kumwezesha
kuhama na namba yake ya simu kwenda nayo mtandao mwingine.

Baadhi ya
maofisa wa mamlaka hiyo wakiwa katika mkutano huo
Profesa Nkoma akifafanua jambo mbele ya wanahabari

Post a Comment