Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBUYU TWITE AFUNGIWA MAISHA

 


SHIRIKISHO la soka nchini Rwanda (FERWAFA) kimemfungia maisha kuichezea timu ya Taifa ya nchi hiyo 'Amavubi' beki kati wa Yanga, Mbuyu Twite (pichani), imefahamika.
Hatua hiyo inafuati beki huyo anayetambulika kama Eric Gasana kwenye kikosi cha Amavubi kuonyesha utovu wa nidhamu kwa uongozi wa shirikisho hilo baada ya kugoma kujiunga na timu ya Taifa.
Habari zinaeleza kwamba, Twite aligoma kujiunga na timu hiyo inayoshiriki michuano ya Chalenji kwa madai kuwa anahitaji kupumzika baada ya kuitumikia timu yake ya Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top