Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV,
anaitwa Brooklyn.
Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee
anaitwa Sophy.
Madee na mwanae
Cheki smile hiyoo,ni Malika wa
Mwanafa
Binamu na
mwanae
Anaitwa Michele
wa Mike T
Gelly wa Rhymes
na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen
Mtoto wa Barnaba
huyo anaitwa Steve
Anaitwa Joyce
mtoto wake Shilole
Post a Comment