Chama
cha Wachezaji Soka wa Kulipwa Duniani, FIFPro, pamoja na FIFA, leo wametangaza
Majina ya Viungo 15, wanaoungana na Makipa 5 waliotajwa Novemba 19 na Mabeki 20
waliotajwa Novemba 22 na Listi hii itakamilika hapo Novemba 29 wakati Mafowadi
15 watakapotajwa wakiwa ni sehemu ya Listi ya mwisho ya Wachezaji 55
watakaotangazwa huko Mjini Sao Paulo, Brazil hapo Novemba 29 kugombea kuwemo
kwenye ile Timu Bora Duniani, rasmi kama FIFA/FIFPro World XI
2012.
Listi
hiyo ya Wachezaji 55, ambayo ilianza kutajwa kwa awamu kwa kuanzia Makipa,
Viungo, Mabeki na sasa tunangojea Mafowadi na kukamilisha Wagombea 55 ambao
watapigiwa Kura kupata Kikosi Bora cha Wachezaji 11 kikiundwa na Kipa, Mabeki
wanne, Viungo watatu na Mafowadi watatu.
WALIOTEULIWA
HADI SASA:
MAKIPA
5 WALIOTEULIWA:
-Gianluigi
Buffon (Italy, Juventus)
-Iker
Casillas (Spain, Real Madrid)
-Petr
Cech (Czech Republic, Chelsea)
-Joe
Hart (England, Manchester City)
-Manuel
Neuer (Germany, Bayern Munich).
MABEKI
20:
-Jordi
Alba (Spain, Barcelona)
-Gareth
Bale (Wales, Tottenham Hotspur)
-Giorgio
Chiellini (Italy, Juventus)
-Ashley
Cole (England, Chelsea)-
-Dani
Alves (Brazil, Barcelona)
-David
Luiz (Brazil, Chelsea)
-Patrice
Evra (France, Manchester United)
-Rio
Ferdinand (England, Manchester United)
-Mats
Hummels (Germany, Borussia Dortmund)
-Branislav
Ivanovic (Serbia, Chelsea)
-Vincent
Kompany (Belgium, Manchester City)
-Philipp
Lahm (Germany, Bayern Munich)
-Marcelo
(Brazil, Real Madrid)
-Javier
Mascherano (Argentina, Barcelona)
-Pepe
(Portugal, Real Madrid)
-Gerard
Piqué (Spain, Barcelona)-
-Carles
Puyol (Spain, Barcelona)
-Sergio
Ramos (Spain, Real Madrid)
-John
Terry (England, Chelsea)
-Thiago Silva
(Brazil, Paris St-Germain).
VIUNGO 15:
-Xabi
Alonso (Spain / Real Madrid),
-Sergio
Busquets (Spain / FC Barcelona),
-Cesc
Fabregas (Spain / FC Barcelona),-
-Steven
Gerrard (England / Liverpool)
-Eden
Hazard (Belgium / Chelsea)
-Andres
Iniesta (Spain / FC Barcelona)
-Frank
Lampard (England / Chelsea)
-Luka
Modric (Croatia / Real Madrid)
-Mesut
Özil (Germany / Real Madrid)
-Andrea
Pirlo (Italy / Juventus)
-Franck
Ribery (France / Bayern Munich)
-David
Silva (Spain / Manchester City)
-Bastian
Schweinsteiger (Germany / Bayern Munich)
-Yaya
Touré (Ivory Coast / Manchester City)
-Xavi
Hernandez (Spain / FC Barcelona)
washambuliaji
wanatarajiwa kutangazawa tarehe 29,November
Wachezaji
50,000, ambao ni Wanachama wa FIFPro, wamesambaziwa Fomu za kupigia Kura hicho
Kikosi Bora.
Washindi
watatangazwa Januari 7, 2013 kwenye Tafrija maalum ya kumpata Mchezaji Bora
Duniani, Mshindi wa Tuzo ya the FIFA Ballon d’Or, itakayofanyika huko Zurich,
Uswisi.
KIKOSI
BORA CHA 2011:
Iker
Casillas; Daniel Alves, Gerard Pique, Sergio Ramos, Nemanja Vidic; Andres
Iniesta, Xabi Alonso, Xavi; Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Wayne
Rooney.
read
more:http://www.fifpro.org/news/news_details/2104
Post a Comment