Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam wakati akizungumzia uzinduzi rasmi wa mkoa wa mpya wa Katavi, ambapo shamrashamra za uzinduzi zimeanza Novemba 19 na uzinduzi rasmi utafanyika Novemba 27 mwaka huu mjini Mpanda, ukizinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Gharib Bilal. kushoto ni Mkurugenzi msaidizi Idara ya habari Maelezo Bw. Jamal.
Mkuu wa mkoa huo amesema
kuna mwamko mkubwa wa uwekezaji katika mkoa huo mpya baada ya kufanyika kwa
kongamano la uwekezaji mwaka jana hasa katika madini, Kilimo na
Utalii
Post a Comment