Wapiga
vyombo wa SKYLIGHT BAND wakiwapa raha mashabiki.
Kifaa
kipya cha SKYLIGHT BAND kikicharaza Gitaa.
Aneth
Kushaba AK47 katika hisia kali.
SAM,
Aneth Kushaba AK 47, Mary Lukas na Sony Masamba wakitoa burudani mwishoni mwa
juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es
Salaam.
Uzao wa
BSS Mary Lukas akiwapa raha mashabiki.
Kijana
SAM wa SKYLIGHT BAND akiimbia kwa hisia kali.
Pichani
Juu na Chini Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakisakata mduara kwa raha
zao.
Kuna
walioingia kati na kumwaga radhi kama picha
inavyojieleza.
Hapo sasa
twende kazi, Warembo wakizungusha nyonga sawa sawa.
Mdau
Rachi Guch (kushoto) akiwa na marafiki zake.
SAM
wakisho love na Blogger King Kif.
Couples
ikishow love mbele ya Camera yetu.
Mdau
Dagna (kushoto) akishow love na mabesti wake.
Wadau wa
kila siku wa SKYLIGHT BAND.
May Love
Charles na wadogo zake.
Couples
katika pozi matata.
Mdau
akiwa na waremboz.
Unakaribishwa kila siku ya Ijumaa Thai Village
Masaki jijini Dar es Salaam kupunguza stress ya wiki nzima na SKYLIGHT BAND.
Utapata Burudani za kila aina Kunzia Kwaito, Sebene, Ragga, Reggae, Dance Hall,
Nigerian Flavor, na nyingine kibao.
Post a Comment