|
Katika hali ya kushangaza
kabisa mwanaume ambaye alidiriki kuonyesha maumbile yake ya siri jinsi yalivyo
aliwaacha watu HOI wakiwa na masikitiko makubwa kupindukia.....
Amini usiamini bwana huyu
amekuwa hana raha katika maisha yake yote tangu anazaliwa kwani amejikuta katika
mikasa mingi ya ajabu ikiwemo kukataliwa na wanawake
ambao alikuwa anawapenda kwa DHATI. Katika mahojianoo mafupi na vyombo vya habari
husika bwana huyo alibainisha kuwa hali hiyo ni ya kuzaliwa nayo na imekuwa
ikimsumbua kwa muda mrefu.... Tatizo kubwa linalomuumiza kichwa ni kuwa mpaka sasa
hajui ni ipi kati ya hizo nne ambayo haswa inahusika na tendo la ndoa kwa
UFANISI.
Chanzo: Boss Ngassa |
on Monday, November 5, 2012
Post a Comment