Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa
Ponda.Kwa hisani ya Habari Mseto Blog
Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi
Ponda akiwa Mahakamani
Askari Magereza akimfunga pingu Sheikh Ponda
Issa Ponda baada ya kesi yake kuahirishwa hadi tarehe 29 novemba.
Sheikh Ponda
Issa Ponda akizungumza na wakili wake
Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa
rumande
Post a Comment