|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamo
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad, pamoja na Viongozi wengine wa Vyama na
Serikali, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar leo, akielekea Nchini Vietnam kwa ziara
rasmi ya Kiserikali, katika
ziara hiyo Rais amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, pamoja na Mawaziri na Maofisa
mbali mbali.
|
|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na
wazee vyama vya siasa na Maofisa mbali
mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini Vietnam kwa ziara rasmi ya
Kiserikali.
|
on Thursday, November 22, 2012
Post a Comment