Kaimu Mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi
ya Umma Jaji Thomass Mihayo (kulia) akikabidhi taarifa ya utendaji ya mwaka
2011/2012 kwa Waziri wa Fedha na Uchumi Dk.William
Mgimwa.
|
Waziri wa fedha na uchumi Dk.William Mgomwa akimpongeza
mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi Umma Dk.Ramadhani Mlinga
kwa uwasilishaji wa taarifa ya mwaka 2011/2012
|
Post a Comment