Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw.Vuai Mwinyi
Mohamed,kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Bw.Vuai Mwinyi Mohamed,baada ya
kumuapisha leo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Pandu Ameir
Kificho,(kushoto) Mshauri wa Rais Kilimo,Buruhani Saadat Haji,(kati)
na Naibu Katibu Mkuu Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa
Wazanzibar
wanaoishi Nje ya Nchi,Saidi Natepe,wakiwa katika hafla ya kuapishwa
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu
Post a Comment