Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Kigoma Frasser Kashai akimvalisha Koti maalumu (Reflector Jacket) Mwendesha
Pikipiki wakati wa Hafla fupi ya Makabidhiano ya Makoti hayo ambapo waendesha
Pikipiki 350 kutoka vijiwe 15 vya Waendesha Pikipiki Katika Wilaya ya Kigoma
walikabidhiwa kwaajili ya kukabiliana na ajali za barabarani
.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Frasser
Kashaiakimvalisha koti mmoja wa waendesha piki piki(Reflector
Jacket)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Kigoma Frasser Kashai akiongea na waendesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda
wakati wa Hafla fupi ya Makabidhiano ya Makoti maalumu ya kuwatambua ambapo
waendesha Pikipiki 350 kutoka vijiwe 15 vya Waendesha bodaboda Katika Wilaya ya
Kigoma walikabidhiwa kwaajili ya kukabiliana na ajali za barabarani .Picha Na
Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Kigoma
Post a Comment