Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SAFARI YA OBAMA YA KUREJEA IKULU BAADA YA KUUPATA USHINDI KWA MARA YA PILI


“Baibai!” wanasema Obama na mkewe wakiwa tayari kupanda ndege.

Mgombea mwenza Joe Biden na mkewe, Jill, wakiwa tayari kupanda ndege ya Air Force Two baada ya ushindi.

Obama na familia yake wakishuka kwenye ndege tayari kuelekea Ikulu.
Wakienda kupanda gari la kuwapeleka uwanja wa ndege Chicago.



Obama na familia yake wakirejea Ikulu ya Marekani.
Familia ya Kwanza (First Family) ya Marekani, Obama, binti zake, Malia na Sasha, na mkewe Michelle, ikiingia Ikulu katika njia iliyotengenezwa maalum.…
Obama na familia yake wakirejea Ikulu ya Marekani.
Familia ya Kwanza (First Family) ya Marekani, Obama, binti zake, Malia na Sasha, na mkewe Michelle, ikiingia Ikulu katika njia iliyotengenezwa maalum.

Ikulu ilivyokuwa inang’aa kuikaribisha familia ya Rais Obama.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top