Spika wa Bunge Mhe. Anne
Makinda akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko
ya Jamii Bi. Irene Isaka (Hayupo Pichani) alipokuwa akiwasilisha maada kwa
Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini. Wengine ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi Mhe. Andrew Chenge pamoja na
Waziri wa Kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Irene Isaka akiwasilisha maada kwa Waheshimiwa
Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii
Nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Dkt. Emmanuel Humba akitoa maelezo kuhusu huduma za Mfuko
Taifa wa Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa
Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha
Waajiri Tanzania (ATE) Dkt. Agrey Mlimuka akiwasilisha mada kuhusu huduma za
Hifadhi ya Jamii Nchini kwa Waheshimiwa
Wabunge
Katibu Mkuu wa TUCTA Ndg.
Hezron Kaaya akitoa mada kwa Wabunge kuhusu Mtizamo wa Hifadhi ya Jamii kwa
upande wa Wafanyakazi
Mkuu wa Habari na Mawasiliano
wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Sara Msika akishiriki semina hiyo
Post a Comment