Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
Joseph Warioba (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda na
Mbunge wa Tabora Mjini Mhe. Ismail Rage (kulia) mara baada ya kumalizika kwa
mkutano wa kukusanaya ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Pius Msekwa
mjini Dodoma Jumamosi, Novemba 3, 2012.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza
kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya
mjini Dodoma Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume Jaji
Joseph Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa
Rashid.
Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa
maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
Meza kuu ilivyokuwa katika mkutano
huo.
Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
(Uhusiano) Mhe. Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika
mkutano huo.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida Mhe. Diana
Chilolo akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe
akitoa maoni yake katika mkutano huo.

Post a Comment