Bibi huyu akiwa anasikitika huku kashika kuni zake mkononi akisema ajali hizi zinazidi kuwamaliza vijana hakuwa na maneno mengi zaidi ya kusema eee mungu tuondolee balaa hili la ajali |
Hii ndi hiace ya pili inayofanya safari zake katika sokomatola na iyunga |
Umalti wa wananchi wakiwa hawaamini kilichotokea hapo |
Hili ndilo Roli lililogonga Hiace zote mbili dereva wa roli hilo kakimbia |
Baadhi ya majeruhi wakipata matibabu katika hospitali ya rufaa mbeya |
Baadhi ya wananchi wakimiminika kwenda waona ndugu zao waliopata ajali |
Moja wa mashuuda wa
ajali hiyo akiwasimulia waandishi wa habari jinsi ajali ilivyotokea.Picha na
mbeya yetu |
Post a Comment