Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Exim Anthony Grant (katikati) akihutubia wanafunzi wa Shuley ya Msingi Kilakala
iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kabla ya kukabidhi maktaba kwa shule hiyo
kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujisomea kwa wanafunzi wa shule hiyo.
Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Abdul Kutarsa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Exim Anthony Grant (katikati) akoinyesha badhi ya vitabu vilivyokabidhiwa kwa
shule ya Msing Kilakala iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kwa lengo la
kuboresha mazingira ya kujisomea kwa wanafunzi wa shule hiyo.
Mlezi wa Shule ya Kilakala Dkt.Ellen Okoedion (kulia)
akimueleza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kushoto)
wakati wa hafla fupi ya kukabidhi maktaba kwa shule ya Msingi ya Kilakala ambayo
itasaidia kuboresha mazingira ya kujisomea kwa wanafunzi wa shule hiyo.
Post a Comment