RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungmza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo,kupitia utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo mkutano
uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ikiwa ni muendelezo wa kufuatilia
utendaji kwa taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
Loading...
Post a Comment