Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza,akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na mafanikio ya mwaka huu ya kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao Bw.Rene Meza akiongea nao kuhusiana na mafanikio ya mwaka huu ya kampuni hiyo.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza (kulia) akiwapongeza baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Tsh 500,000 kwa kufanya kazi katika kampuni hiyo kwa muda wa zaidi ya miaka kumi tangia ianze kutoa huduma zake hapa nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza, akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh 500,000 mfanyakazi bora wa mwezi wa kampuni hiyo Bw.Taha Madan,anaeshuhudia kushoto ni Ofisa Mkuu wa kitengo cha IT&Billing Bw.Luis Fedriani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao Bw.Rene Meza akiongea nao kuhusiana na mafanikio ya mwaka huu ya kampuni hiyo.
Post a Comment