Juma Nature (kulia) na KR Mullah wakinogesha hafla
hiyo.
UMATI mkubwa wa mashabiki usiku wa kuamkia leo ulifurika Club Bilicanas jijini Dar es Salaam ambako kulifanyika ‘Birthday Party’ ya kituo cha redio cha Clouds cha jijini Dar es Salaam kutimiza miaka 13. Katika hafla hiyo wasanii mbalimbali walitumbuiza.

Post a Comment