Balozi wa Canada nchini,
Mheshimiwa Alexandre Leveque akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini,
Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo alipomtembelea wizarani leo. Serikali ya
Canada imeonyesha nia ya kuwekeza katika sekta ya umeme
on Tuesday, December 11, 2012
Post a Comment