Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WALIOPANDISHA BENDERA YA TAIFA MLIMA KILIMANJARO WAPOKELEWA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII


 

Mkurugenzi wa mamlaka ya hifadhi za taifa(TANAP)Allan Kijazi
akiazungumza wakati wa hafla fupi ya kuwapokea wapanda mlima zaidi ya
30,waliopanda mlima Kilimanjaro Desemba 6 kwa lengo la kupandisha
bendera ya taifa kwa ajili ya sherehe ya miaka 51 ya uhuru wa
Tanzania.
Mwenyekiti wa bodi ya utalii Tanzania(TTB)Balozi Charles Sanga
akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwapokea wapanda mlima zaidi ya
30,waliopanda mlima Kilimanjaro Desemba 6 kwa lengo la kupandisha
bendera ya taifa kwa ajili ya sherehe ya miaka 51 ya uhuru wa
Tanzania.
Mwenyekiti wa bodi ya Serengeti Breweries Jaji Mark Bomani akizungumza
wakati wa hafla fupi ya kuwapokea wapanda mlima zaidi ya 30,waliopanda
mlima Kilimanjaro Desemba 6 kwa lengo la kupandisha bendera ya taifa
kwa ajili ya sherehe ya miaka 51 ya uhuru wa Tanzania.
Mkuu wa mkoa wakilimanjaro Leonidas Gama akizungumza wakati wa hafla
fupi ya kuwapokea wapanda mlima zaidi ya 30,waliopanda mlima
Kilimanjaro Desemba 6 kwa lengo la kupandisha bendera ya taifa kwa
ajili ya sherehe ya miaka 51 ya uhuru wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Serengeti Breweries Steven Gannon akipokea cheti kutoka
kwa waziri wa maliasili na utalii Balozi Khamisi Kagasheki baada ya
kufanikiwa kufika Uhuru peak.
Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania ,Private Amani Kasanga
akipokea cheti kutoka kwa waziri wa maliasili na utalii Balozi Khamisi
Kagasheki baada ya kufanikiwa kufika Uhuru peak.
Askari wa jeshi la wananchi wa TAnzania Luteni Kijakazi Marijebu
akipokea cheti kutoka kwa waziri wa maliasili na utalii Balozi Khamisi
Kagasheki baada ya kufanikiwa kufika Uhuru peak.
Baaadhi ya washiriki wa zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro
lililoongozwa na Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi,Jenerali George
Waitara.
Mbunge wa jimbo la Kohani Zanzibar Mh Amina,akiwa na washiriki wengine
waliopanda mlima Kilimanjaro.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top